Apartment zinapangishwa Kigamboni

May 8, 2021
14
45
Zipo mjimwema mtaa wa kibugumo. Zipo za vyumba viwili kimoja master bedroom sitting room jiko na public toilet. Bei laki 350 chumba kimoja master bedroom sitting room jiko Bei laki 250

0713672719
0787672719

IMG_20210516_133058_889.jpg
IMG_20210516_133224_975.jpg
IMG_20210516_133158_991.jpg
IMG_20210516_133242_873.jpg
 

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,430
2,000
Mkuu weka tangazo lako vizuri basi? Hebu rudia kulisoma upya..hata wewe hutalielewa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom