Bossprota
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 336
- 376
JINSI YA KUONDOA TATIZO LA BOOST UNAVAILABLE KWENYE FACEBOOK
Siku hizi watumiaji wa Facebook haswa kwenyemasuala ya matangazo (sponsored ads) Kwenye Pages Hukumbana na tatizo la BOOST UNAVAILABLE Pindi wanapotaka kuboost post Changamoto ambayo hupelekea watu wengi kuacha kutumia page au kutumia mbinu ambazo ni hatari kwa afya ya page zao.
AINA ZA HIVI VIZUIZI
-Hizi hapa chini ndio aina baadhi za vizuizi wanavyokutananavyo marketers wa Facebook kama vile:
Nini ni chanzo cha hizo restrictions:
VYANZO VYA BOOST UNAVAILABLE
1: Madeni ya account za malipo
- Account za matangazo hukata pesa ya bajeti baada ya kuanza kurun matangazo hivyo kupelekea kuruhusu tangazo lisambae hatakama huna budget uliyoiweka na kupelekea account kubaki na deni baada ya kumaliza kurun tangazo baada ya hapo usipolipa kwa wakati unaweza ukapata restrictions .
2: Kujaribu kubadili Ads account mara kwa mara hii ni pale baada ya account A kuwa restricted na ukacreate account B hii pia inaweza kuleta matatizo
3: Kutofuata Privacy policy and security facebook wanasheria zao za usalama ambazo huwa inatakiwa uzifuate wakati wa kutangaza kwakutumia pages
4: Kupost mahudhui yaliyo zuiliwa (prohibited contents) kama vile mahudhui yenye humiliation, human rights violation,abusive languages etc.
5:Kuwa reported by community kama vile copyrights report,sparm reports etc.
NJIA ZINAZOWEZA KUSOLVE HILO TATIZO
1: Kubadili njia za malipo –katika facebook kunanjias mbili za malipo ya matangazo ambayo ni master card/visa au paypal accounts kwahiyo kama mwanzo ulikuwa unatumia mastercard badilisha njia ya malipo na kutumia paypal.
2: Omba kukaguliwa na facebook yaan ufanyiwe accounts strength check up
Ili uweze kufanyiwa account review na upate go ahead (hii huchukua kamuda kidogo kuwa apploved)
3: Kagua post zako na uangalie makosa yaliyo katazwa na fakebook policy rekebisha.

- Boost unavailable/facebook post unavailable
- Can’t use or manage Ad Accounts
- Can’t Create or run ads
- Personal Ad Account Restrictions
- Can’t see or manage Audiences