Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar wana jamii forum, Je, naweza kupata madukani au kama kuna fundi wa tv kioo cha tv yangu aina ya Samsung inch 32 kwa bei gani?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu Nnahitaji fundi anayeweza kuapdate software katika mashine ya alignment Aina ya mashine ni Hunter K 111 IPO kigamboni Mawasiliano 0762036898
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ina hard disk ya 500GB. Ina games 6. Natoa na power cable. Price: 600,000 Location: Tanga SOLD
0 Reactions
5 Replies
812 Views
Anahitajika fundi wa plasta haraka anaejua vizuri kupiga plasta. Site iko Mbezi DAR.kama kuna kazi ulifanya ambayo ni nzuri itume ili kumvutia mteja. Sent using Jamii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hard Disk: 500GB Model: CUH 1003A Build: PS 4 Fat Games: Call of Duty, Pes 20, Need for Speed, GTA, Batman Injustice 2 na Mortal Kombat. Controller Pad: No Asking Price: 580,000 Location...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mashuka king-size, mawili na foronya nne Bei 55000 Tunapatikana Dar na mikoani tunatuma Call, WhatsApp 0759316488 Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
547 Views
Serious business tuwasiliane inbox. Nipe BMW X3 au X5 nikuachie chuma hiko nipo Dar es salaam Ubungo.
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Imetumika kidogo sana bado mpya kama unavoiona hapo, haina tatizo lolote lile 32GB Storage Ram 2GB Android 11 one UI 3.1 Tsh 180,000/= tu Bei ya OFA hii inapatikana Mwanza igoma Mawasiliano ...
1 Reactions
6 Replies
761 Views
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema wakuu! Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau, Nahitaji mtu mwenye king'amuzi cha Azam bila dish kama unacho,kisiwe na tatizo (fault ) ya aina yoyote kiwe kimesajiliwa kiko hewani na Remote yake. Karibu tufanye biashara. Jibia hapa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununu Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We are one of the easiest website hosting platforms to use, and remain committed to providing our customers with one of the best hosting solutions on the market. Our powerful website hosting...
5 Reactions
140 Replies
13K Views
Habari wana jf, nimekuja kwenu Nina uhitaji wa mkopo Nimejaribu kwenye taasis nmekosa, nina dhamana ya nyumba ipo morogoro mzumbe, nahitaji tsh million 3 naweza kurejesha ndani ya miezi miwili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Chumba kizuri sana ndani ya geti Bei ni 70k miezi sita Una sub meter yako umeme Ni sekunde kufika barabara ya lami Choo mna share wawili Wahi mapema dm Karibu na hotel ya moveck
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaaani tangu ninue dish la Dstv haipiti miezi mitatu chanel zinakata kata natafuta fundi anagusa gusa akiondoka ikikaa baada ya mda linazingua tena!! sasa nimechoka kutoa hela kila siku...
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza kiwanja kinachopatikana Itezi Mbeya. SIFA ZA KIWANJA 1. Kimepimwa na hati ipo. 2. Umeme hauhitaji nguzo au nguzo moja ukihitaji. 3. Nimeweka msingi wa mawe wa nyumba (Trip 9). 4. Mashimo...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Ina Speaker 3 Ina play Bluetooth Ina sehem ya Flash na Memory Card Bei 80,000/= Location Manzese Tip Top DSM Contact Call & whatsap 0678296878
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Je umefanya maamuzi ya kufikia uhuru wa kifedha kupitia majengo ya kupangisha?. Je umefanya maamuzi ya kustaafu mapema zaidi kupitia majengo ya kupangisha?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…