Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza Webcam Camera nzuri sana na ya kisasa aina ya Logitech Brio, inachukua ubora wa picha wa 4k. Naiuza pamoja na standa yake kwa Tshs. 300,000 Tu. Piga 0754 34 36 42. Maelezo zaidi ya camera...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni kujua njia rahisi au kufahamu magari ya kusafirisha mizigo kwenda Tanga wapi yanapaki kwa Dar na gharama sh. ngapi wakuu.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Naomba msaada waungwana nina kg 1 ya dhahabu naomba kujua wapi nitauza kwa bei nzuri kidogo. Ninashukuru kwa mawazo niliopata, ila ukweli leseni sina na mimi sio mchimbaji, nimeipata kwa...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Katika kipindi hiki cha corona kumekuwa na ugumu katika kwenda kuchukua bidhaa duka la jumla...... kutokana na uoga na pia hofu juu ya janga linaloikumba taifa na dunia kwa ujumla Ngojea...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza Hongera Sana zimuendee C.E.O na mwanzilishi wa hii App. Nilichokua siamini sasa nimeamini. nimeenda playstore nikaidownload hii App ya Nala Money. Baada ya kuinstall kwenye simu yangu...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari kwa wakazi wa kibaha, Je, ni eneo gani ni zuri linafaa kwa kufanya tamasha, liwe zuri, la wazi, lenye eneo la kutosha kwa parking na linalofikika/karibu na barabara nikimaanisha, karibu...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Wakuu mwenye kiti cha kukunja cha dizaini kama hii, nakihitaji.
1 Reactions
4 Replies
977 Views
Wadau, Nauza King'amuzi cha Azam, kizima na kinafanya kazi. Bei Tshs. 100,000 (Laki Moja). Kiko Bunju B Dar es salaam. Piga 0754 34 36 42
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habarini za huko mliko... Nina shida na used electric motor 3 phase, 380V, 50 HZ ambazo ni 15 na 7.5 horse power (any manufacturer). Nipo Dar es Salaam. Popote ulipo Tanzania hii tunaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mambo mawili makubwa ambayo yanaamua upate madhara kiasi gani pindi unapopata ajali ya gari. 1. Speed Hili ndio watu wengi wanalifahamu. Kikawaida unapoendesha gari, uwezekano wa kupata...
15 Reactions
74 Replies
6K Views
najua kuna watakaonibeza na wengine kunikatisha tamaa lakini ukweli ni kwamba nahitaj kununua gari la milioni 1.5, kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia namba 0716 002323, nipo dar.
0 Reactions
84 Replies
19K Views
Bila kupoteza muda, nimepita kwenye page ya Dar coach (kampuni ya kitanzania ya kuunda bodi za mabasi) aise hawa jamaa wameunda bodi kali sana waliyoiita "tanzanite" ikiwa imevaa chasis ya scania...
20 Reactions
68 Replies
16K Views
Ndugu zangu wapendwa mwenye line ya M PESA ambayo haitumii naomba aniuzie au aniazime kwa makubaliano. Au kama kuna anaye jua namna ya kuzipata kwauharaka zaid line za Tigo pesa na M pesa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama wewe ni mpenzi wa androud games. Sasa tuna android game mpya ipo inapatikana playstore. Unaweza download bure kabisa uka enjoy time yako, Chakufanya bonyeza link hii hapa chini kwenda...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jichukulie Hii Gari kwa Bei ya January Gari ni 6 cylinder Year of made: 2006 Mahali iliko: Dar Mileage: 120,000km haizidi hapo Bei: 21 Mil Negotiable (inazungumzika) Inahitaji Marekebisho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Ndugu, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Brand zilizopo ni Hisence na Boss Bei ni 750,000 (Mazungumzo yapo boss) Mahali zinakopatikana ni Kimara darajani (Kimara mwisho) TV zilikuwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana. Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom