House4Rent Chumba cha kupanga Ubungo Maziwa

JOH CARLOS

JF-Expert Member
May 13, 2016
576
267
Chumba kizuri sana ndani ya geti
Bei ni 70k miezi sita
Una sub meter yako umeme
Ni sekunde kufika barabara ya lami
Choo mna share wawili
Wahi mapema
dm
Karibu na hotel ya moveck
 
Mkuu unataka mtu kukiona hicho chumba hadi umpeleke, kwakuwa umeamua kutafuta mteja mtandaoni Kwanini usimalize na swala la picha kabisa
 
Back
Top Bottom