Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Itezi, Mbeya

detected

Senior Member
Mar 17, 2017
143
130
Nauza kiwanja kinachopatikana Itezi Mbeya.

SIFA ZA KIWANJA

1. Kimepimwa na hati ipo.
2. Umeme hauhitaji nguzo au nguzo moja ukihitaji.
3. Nimeweka msingi wa mawe wa nyumba (Trip 9).
4. Mashimo mawili ya choo yameshajengwa kabisa (Kubwa la mawe na dogo la tofali za block).
5. Kina ukubwa wa Sqm 650.
6. Ramani iliyokuwa inajengwa nitaitoa kwa mnunuzi kama akipenda kuendeleza.

MUUZAJI

Ni mimi mwenyewe, hakina dalali.

MAWASILIANO

0710613913 (Calls Only)
0764615124 (Calls na WhatsApp)

SABABU ZA KUUZA

Nimehama kimakazi Mbeya.

GHARAMA

Kiwanja pamoja na vitu vilivyofanyika ni Tsh 10m.

Kuona kiwanja ni bure kabisa.

Karibuni sana.

1630927750936.png
 
Bado kipo wakuu... Karibuni.
 
Wakuu hizi picha za leo za eneo kwa mliohitaji kwa simu nimewatumia na wengine karibuni mtathimini eneo.

Kwa video nichek whatsapp nikutumie nashindwa kuipandisha hapa.
20210825_181617.jpg
20210825_181534.jpg
20210825_181537.jpg
20210825_181510.jpg
 
Attachments

  • 20210825_181532.jpg
    20210825_181532.jpg
    103 KB · Views: 6
Duh tangu February hadi Leo hujauza?
Nadhani changamoto inaweza kuwa ule msingi wa nyumba ambao tayari upo, pengine wanunuaji wanakua na idea ya aina ya nyumba wanataka kujenga. Hivyo kuwepo kwa msingi ni kama kikwazo. Itakubidi ufanye modification kidogo kuendana na idea yako- which can be costly.
Pia 10M kwa maeneo ya Itezi nadhani vitu ambavyo ameshafanya kwenye plot ndio vime'inflate bei kiasi. Naamini atapata mteja sababu Plot ya 650sqm ni size nzuri sana kwa makazi.
 
Thanks mkuu
 
Ingekuwa kwenye 4-5.5M nungejitosa walau nipajenge kidogo kidogo, ila 10M naishia kusoma tangazo na kuishia kugugumia tu...
 
Back
Top Bottom