Nahitaji eneo la kununua la biashara Chanika, Dar es Salaam

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,308
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya

Naitaji Eneo la kununu Kwa ajili ya kufanyia Biashara,

Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani,

Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika

Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom