Una top up shilingi ngap kwa bmw x3 2007 modelSerious business tuwasiliane inbox. Nipe BMW X3 au X5 nikuachie chuma hiko nipo Dar es salaam Ubungo.
View attachment 2056023View attachment 2056025View attachment 2056026
Niuzie hii kwa 12mSerious business tuwasiliane inbox. Nipe BMW X3 au X5 nikuachie chuma hiko nipo Dar es salaam Ubungo.
View attachment 2056023View attachment 2056025View attachment 2056026
Bado ipo?Ngoja nifikirie mkuu ila nilitamani sana ku exchange
Mkuu,View attachment 2056029View attachment 2056030
Mwenye 15M naichia hii Harrier jamani, iko in magnificent condition!
Engine 2az-Fe 2390cc
Mwaka 2003
Jitahidi atakayekuachia hiyo Freude am Leben, akuongezee na cha juu!Serious business tuwasiliane inbox. Nipe BMW X3 au X5 nikuachie chuma hiko nipo Dar es salaam Ubungo.
View attachment 2056023View attachment 2056025View attachment 2056026