Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habarini za mchana,ninaunza gari yangu aina ya Harrier Old Model,bei ni Tshs 15,000,000/ sababu zakuiuza ni kwamba kwamba nauza niweze kuongeza pesa ninunue gari jingine!
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na: 1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title" 2.Namna ya kuandaa "research proposal" 3.Njia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari!!mwenye Motherboard ya samsung A71 au anayemjua fundi ambaye anauza au mtu yeyote anichek inbox sababu mafundi niliyowapelekea simu Yangu A71 imewashinda ,au Ambaye anauza A71 Used but...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ninauza mashine za kusaga siagi ya karanga yaani kwa wale wanaotaka kuanzisha biashara ndogo ya uuzaji wa Penuty butter karibuni niwauzie mashine. Sifa za mashine Inasaga kwa kutumia nishati ya...
4 Reactions
62 Replies
13K Views
Kanisa la City Christian Centre-TAG Upanga chini ya Bishop DR. Ranwell Mwenisongole wanakualika katika (CHURCH ANNIVERSARY - 40 Years) maadhimisho ya miaka 40 ya Kanisa hilo. Ni tarehe 11/11/2018...
2 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu Habari. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana, bajeti yangu ni milion 22 Na naitaji Gari aina ya Fuso Kwa yeyote anaeuza basi anidm tufanye biashara Niko Dar es Salaam
2 Reactions
45 Replies
9K Views
Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Maoven yanaouzika sana Dsm sasa yamepungua bei Bei-155,000Tsh tu *Linatumia umeme kiduchu *Linaoka mikate,cake na choma kuku na vinginevyo *Pia unaweza ukapasha chakula chako *Lina ujazo wa 48L...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza. size ni 30*25 ft kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza. Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia. Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho. Bei 6 million...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nyumba nzuri ya kupanga yenye vyumba 2(Kimoja ni master) ,Sebule kubwa ,choo cha public kwa ndani,Jiko kubwa na veranda lenye nafasi pande zote na iko ndani ya fence inapatikana eneo la Nzuguni...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Husika na kichwa hapo Juu..Nauza laptop Acer ikiwa na sifa hizi Liquid Crystal Display 15'5 RAM 4GB Harddisk 320GB Battery 2hrs WebCam Bluetooth Running Windows 10 Bei nahitaji Tsh.250,000 only...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Eneo: Goba Kulangwa Uelekeo: 2Km kutoka barabara mpya ya lami ya njia nne kwenda Tegeta Ukubwa: 400sqm Hadhi: Skwata Bei:Milioni 12 Eneo zuri lina barabara nzuri, na Umeme Upo tayari. Ukihitaji...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Brand new shoes Size 36,37, 38, 39, 40 Bei sh 30000 Dar es salam tunakufikishia mpaka mahali ulipo na mikoani tunatuma pia. Contact 0715621701
0 Reactions
14 Replies
2K Views
#Ps2 fat zipo mbili zipo full kila moja ikiwa na flash yenye game 10 #ps2 moja ikiwa full bila tv ni Tsh 100k na TV ni Tsh 150k #Zote nne ni yaani TV mbili na ps2 mbili Tsh 300k #Hiyo TV nyeusi...
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Habari wanaJF, kutana na wasambazaji na wakulima wakubwa wa zao la TANGAWIZI kutoka rungwe- mbeya, tunajihusisha na kutoa huduma ya usambazaji wa TANGAWIZI kwa wafanya biashara kutoka seheme...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Offer OFFER offer. Kwa mara nyingine jipatie raba Kali kwa shilingi elfu kumi na mbili. Ukinunua kuanzia 2 inakua 10000. Nipo kariakoo karibu na shule ya jangwani. Nicheki 0620239355
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo Dar, nahitaji flat screen inch 40, isiwe na tatizo lolote bajeti yangu ni 350,000/- ukiwa serious nichek
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza mashine za kutengeneza aina mbalimbali za mabati na kofia. Machine ni mpya na zinafika Dar es salaam tarehe 23 April. Mashine ni hizi zifuatazo CORRUGATED ROOFING MACHINE Hii inatengeneza...
8 Reactions
70 Replies
28K Views
Naomba msaada kumpata fundi mzuri wa Iphone arusha, simu yangu ina screen yake hai display kitu na haija vunjika hata kidogo.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Contact: 0744050744
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Back
Top Bottom