Make : Mercedes
Model : Benz E - Class
Mileage : 96,439km
Engine size: 2,590cc
Gasoline : Petrol
Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )
Transmission : Automatic
M/Year : 2003
Doors : 4...
Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha?
Dhamiria...
habarini wanajamvi!? naulizia ni wapi wanapouza hizi manual heavy duty blender( brenda) ambayo haitumii umeme kama hiyo hapo pichani.
Achana na hivi vidogo vidogo vinavyouzwa na wamachinga...
Karibu ATEB TECHNOLOGIES tukuunganishie wireless internet isiyokuwa na kikomo kwa matumizi ya majumbani na maofisini.Tunauza huduma ya internet ambayo ni yenye speed kuanzia 1Mbps-100Mbps.
Kwa...
Toyota premio
engine 7A
full ac
bei 4.5
kwa mahitaji ya kuuza au kununua gari yako tafadhali wasiliana nasi ili tukupatie wateja na huduma ya haraka tupo ilala na tunafanya kazi siku zote za week...
Hodi wakuu!
Kama kichwa Cha habari hapo juu kilivyosema nahitaji mtu anayetaka kuuza biashara yake ya duka la dawa yaani DLDM au maabara ya afya kwa mikoa ya kanda ya ziwa.
kwa yoyote anayeuza...
Toyota Land Cruiser Prado ambayo kwa kiasi kikubwa ni imetumika kwa misele ya Dar es salaam tu ingawaje mara chache sana ilikuwa inapiga trip za mkoa. Gari ipo safi kabisa, ni wewe tu kuchukua...
Ipo kisemvule dk 5 kutoka stend kuu ina vyumba 3 na sebule unalipia na kuamia share tangazo fanikisha 1ml utatoka kwa atakae fanikisha ili documents zote zipo
0683715151
Sent from my SM-G965U...
Natafuta Aluminium door kama huo ,ulotumika ,Bei ikiwa nzuri nalipia mda wowote chap nipigie 0746751987
ukinipa connection nikanunua naktumia 20,000 yako mapema tu
Jipatie neti nzuri zenye Muonekano mzuri, Nzito na zenye urahisi katika kutumia, Kwa bei nafuu sana, Nazungumzia "Tent Mosquito nets" Kwa sh.75,000 tu.
Delivery service kwa Dar ipo, Unaletewa...
Nauza Webcam Camera nzuri sana na ya kisasa aina ya Logitech Brio, inachukua ubora wa picha wa 4k. Naiuza pamoja na standa yake kwa Tshs. 300,000 Tu. Piga 0754 34 36 42.
Maelezo zaidi ya camera...
Naomba msaada waungwana nina kg 1 ya dhahabu naomba kujua wapi nitauza kwa bei nzuri kidogo.
Ninashukuru kwa mawazo niliopata, ila ukweli leseni sina na mimi sio mchimbaji, nimeipata kwa...
Katika kipindi hiki cha corona kumekuwa na ugumu katika kwenda kuchukua bidhaa duka la jumla...... kutokana na uoga na pia hofu juu ya janga linaloikumba taifa na dunia kwa ujumla
Ngojea...
Kwanza Hongera Sana zimuendee C.E.O na mwanzilishi wa hii App.
Nilichokua siamini sasa nimeamini.
nimeenda playstore nikaidownload hii App ya Nala Money.
Baada ya kuinstall kwenye simu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.