Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Wadau,
Nahitaji mtu mwenye king'amuzi cha Azam bila dish kama unacho,kisiwe na tatizo (fault ) ya aina yoyote kiwe kimesajiliwa kiko hewani na Remote yake.
Karibu tufanye biashara.
Jibia hapa hapa nitakutafuta.
Nb:Najua nahitaji cha nini hivyo sihitaji darsa na story nyingi..kama unacho karibia HAPA.
shukrani.