Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam Ni 4 Wheel Drive Ya Mwaka 1996 Imetembea KM 276,907 Bei Tsh.9,100,000 Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014 Asanteni
0 Reactions
0 Replies
834 Views
WENYE VITABU VYA KISWAHILI NA KINGEREZA VYA PDF
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Moja kwa moja niende kwenye mada wadau nahitaji mwenye moja ya hizo gari hapo juu ani pm sitaki dalali narudia dalali usije anga zangu unaeuza uwe mwenye gari ukija dalali nakutoa nduki maana nyie...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
KWA MIL 9 PEKEE MILIKI RUMION KALIII HUKU 9MILLION INAYOBAKI LIPA KIDOGO KIDGO KWA MTINDO WA MAREJESHO YA MWAKA MZIMA TOYOTA RUMION Model: 2008 Stock No: 0090 Engine Capacity: 1490CC FEATURES...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ndugu zangu natafuta mayai ya kwale ambayo yanafaa kutotolesha. karibu mwenye taarifa yoyote
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba anayejua mnada was mbuzi maeneo ya bagamoyo anijulishe unakuwa siku gani. Naomba sana msaada wenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ningependa kufahamu bei za tambi (Jumla) kwa hapa Dar ipoje? Kwa jina lingine ni pasta au spaghet. Kama kuna anayewafahamu wauzaji wa jumla anaweza kunipa mawasiliano yao...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wakuu, Aliye dodoma ambae anaweza nisaidia kupata Chumba Master (self contained room) kubwa au na sebule yake eneo la kisasa au Nyumba 300 naomba awasiliane na mimi. Pia kama una namba ya dalali...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nashukuru nimepata
1 Reactions
2 Replies
401 Views
Wakuu, nimeanza kuzalisha Juice ya nafaka au Togwa kwa jina jingine na kuipack kabisa, Yaani inakuwa packed na inakaa muda mrefu sana. Togwa zinanywekwa kwenye nchi nyingi za Africa ukianzia...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Trekta lipo Morogoro mjini(nanenane), lipo katika hali nzuri sana. Unaruhusiwa kuja kulikagua. Ni 4wd na ni 75hp. Unauziwa pamoja na jembe lake. Bei ni 36m. Mazungumzo yanaruhusiwa. Namba za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna mdau anayo spacio new model number D yoyote, iwe kwenye hali nzuri, offer m7 kamili. Mahali: Mwanza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pikipiki nzuri, imesajiliwa Tanzania mwaka 2018, inatembea vema na ipo Dar es salaam kwa sasa. Bei ya kuanzia mazungumzo ni million 11 (pesa ya Tanzania milioni kumi na moja), mazungumzo...
10 Reactions
135 Replies
31K Views
iPhone 7plain, 230,000/=...piga 0683007848
0 Reactions
0 Replies
367 Views
Habari Waungwana. Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 Inauzwa Ipo kimara Dar es salaam.Imechukuliwa🤝
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naombeni mnijuze huwa wanauza sh ngap? Maana huwa naona picha zao tu mtandaoni.
0 Reactions
62 Replies
17K Views
Heloo wakuu habari Ninauza kiwanja kina ukubwa wa sqm 540(20X 27) kipo bunju B mtaa wa kihenzile .ni umbali wa dk 8 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.,kipo eneo zuri jirani kabisa na club ya simba...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Nauza fridge kampuni ya Samsung Linagandisha vzr sana Contact: 0789572313 Location: Makongo juu Bei :350k Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
957 Views
JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO. ✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom