Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu nahitaji Non Alcohol Wine(0.0%). Kuna maduka 2 ya pombe kali mbezi Luis nimejaribu kuulizia wanasema hawana wanazo zenye alcohol tu. Anayefahamu naomba anijuze niifuate popote dsm wine...
3 Reactions
94 Replies
12K Views
Wazee kichwa cha habari kinajitosheleza
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari za asubuhi, poleni na uchovu wa jana wa Simba day na pia siku ya mapumziko sikukuu ya Nanenane kwa wafanyakazi na wasio wapenzi wa kandanda. Nimekuja tena kwenu nina shida nauza gari...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
NAUZA MRADI WANGU WA SHAMBA EKA 105 KWA MILIONI 135 Ningependa kuchukua nafasi hii kutangaza kuuza shamba langu lenye ukubwa wa eka 105 lililopo kijiji cha lutukila katika wilaya ya madaba mkoa...
11 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza PC Ina ram 8gb hdd500 charge 3hrs Bei 300k Pm me or WhatsApp me at 0621554787
0 Reactions
3 Replies
556 Views
Nahitaji premio no d iliyonyooka na ambayo haijagongwa Wala kuludiwa Rangi tuma wasap no 0763165384
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Kiwanda Lmt Textile kinachojishughulisha na kutengeneza masweta ya shule kinatoa fursa kwa wanaohitaji kufanya biashara ya kusambaza masweta ya shule kila mkoa. Kiwanda kipo DODOMA.Kwa wenye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi: Moja kwa moja kwenye maada,Naomba connection au chimbo la saa za smart(Smart watches) kwa bei ya jumla jumla tufanye kazi. Jamii forum ni kubwa na inatukutanisha na watu mbali...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
KAMPUNI.... JITIBU KWA ASALI Product zetu 1. Asali ya nyuki wakubwa 2. Asali ya nyuki wadogo 3. Juisi ya asali ya nyuki wadogo 4. Korosho za kuchoma kiasili Kuanzia lita 20 pamoja na packaging...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
habari wakuu.. nauza kochi langu la watu watatu .. lina wiki kadhaa toka linunuliwe .. bei 170,000 location moshi mjini .. exchange inakubalika kwa mwenye la watu wawili tukikubaliana .. 0715 194...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Xbox one 500gb One controller Two cd For sale Bei 450k Nicheki 0629274880 or 0752527054 or 0716917896
2 Reactions
3 Replies
862 Views
Hello coder's Kama ww ni developer ( WordPress / full stack developer ) I have alot of jobs I need a team. App Developer Invented tooo Check me on Whatsapp 0763 043 763
2 Reactions
0 Replies
454 Views
Mashine za juisi ya miwa kutoka china mzigo upo njiani pindi ukiwasili ni kuifuata oda yako bei yake million moja na Laki mbili karibu sasa. sifa ya mashine inachuja yenyewe na pia ni rahisi...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
BS ni wakali wa kutengeneza graphics kwa viwango vya lami. Njoo tuweke muonekano bora kwenye bidhaa zako leo kwa bei poa. Piga au WhatsApp 0752 132 836 au 0787 865 793
0 Reactions
2 Replies
519 Views
MI NADILI NA WANAMUZIKI ●Nafanya verification ya youtube (official artist channell) ●naweka nyimbo kwenye platform mbali mbali [emoji830]︎boomplay (account yako inakua verified)...
0 Reactions
2 Replies
840 Views
STAMICO kusherehekea miaka 50, imezalisha makaa ya mawe rafiki kwa ajili ya matumizi ya kawaida. Makaa yana ufanisi mkubwa na huwaka kwa muda mrefu kuliko mkaa wa kawaida. Pia husaidia katika...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya maadiliko ya hali ya hewa sisi wakulima kukosa kabisa mazao ya kutosha,hivyo haya machache niliyopata nimeona bora nikamue mafuta niuze. Hivyo nauza kuanzia lita tano kwa 30,000 tu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Ninahitaji kifaa kinaitwa GPS kwa bei nzuri ya kizalendo. Hata iwe used au mpya , but bei nzuri ya kitanzania. Asante
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu? nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20 Nyumba ni ya Chumba na Sebule Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4 kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Karibu Katika Mradi Mpya wa Viwanja Maeneo Ya Mvuti Km4 Kutoka Chanika Kwenda Mbagala Mradi Upo Mt 350 Kutoka Barabara Kubwa Ya LAMI Bei Ni Tsh, 7000/= Kwa Mita 1 Ya Mraba Na Vimepimwa Kuanzia...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom