CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,951
- 9,509
Wakuu, nimeanza kuzalisha Juice ya nafaka au Togwa kwa jina jingine na kuipack kabisa, Yaani inakuwa packed na inakaa muda mrefu sana.
Togwa zinanywekwa kwenye nchi nyingi za Africa ukianzia South Africa kupanda juu, hadi Ethiopia kote huko.Kinacho tofautishwa sana ni Majina ila ukiona kilicho ndani ni kile kile. Mfano Soutj Africa na hadi Zimbabwe wanaita MAHEWU, hii ni ni togwa kabisa na iko packed na inasambazwa.
Kuna nchi hadi Cocacola Company imejitosa na kuzalisha na kupack togwa kabisa.
Ni Bahati mbaya sana sisi tumelala sana kama ilivyo ada yetu. Naweza kwa baadae kuja kitoa Techinic isue
View attachment 1927305View attachment 1927315View attachment 1927318View attachment 1927322