Fuga Kisasa
Senior Member
- Jan 16, 2016
- 165
- 91
Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu bei za tambi (Jumla) kwa hapa Dar ipoje? Kwa jina lingine ni pasta au spaghet. Kama kuna anayewafahamu wauzaji wa jumla anaweza kunipa mawasiliano yao nitashukuru sana.
Mbarikiwe wakuu