Habarini za jioni wana jamiiforum wenzangu.
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa building material yoyote ya GoodOne brand au GoodWill tafadhali usisite kuwasiliana na mimi sales wa Goodone, Johari...
RE
Usajili namba C
Imetunzwa
Aliekua anaendesha ndie mmiliki
Ina miaka 2 na nusu toka ainunue
Anataka kubadili biashara
Chombo hakina tatizo lolote
Inapatikana dodoma mjini
Anauza million 3
Mpigie...
Naomba elimu juu ya water pump nzuri za kutumia diesel na petrol. Ziwe na uwezo wa kusukuma zaidi ya mita 300
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Habari ndugu zangu,
Tukutane hapa kwaajili ya maulizo ya magari Kwa Bei Poa kabisa na pia kuuliza swali lolote kuhusu magari
Kwa maulizo madogo madogo tunaweza wasiliana Kwa 0777994134
Kwa mfano...
Service yangu ni kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa na Vipindi vya Kuvirusha kwenye youtube
instagram na Facebook ...
Nakutengenezeae account ya Youtube
instagrama na facebook kama hauna
then...
Je umenunua TV yako ya gharama kubwa na bado unahofia wezi wanaweza kuja kukuibia TV yako.
Je unajua asilimia kubwa ya vitu vinavyoibiwa majumbani ni TV.
I-SECURE wanalo jibu ni jinsi gani unaweza...
Chumba na sebure vinapangishwa kinyerezi kabla ya kufika kabisa la Roma stand ya zamani unaingia ndani kidogo karibu na msikiti wa kimbekete na karibu na transfoma ni karibu na kituo Cha magari...
Nilikua nafanya reference katika sheria kadhaa za elimu Sekondari kwa watoto wa kidato Cha Pili na kidato Cha Nne. Nimeona watoto wote wa madarasa ya mitihani hawapaswi kuingia kwenye vyumba vya...
Habari wadau.
Vyumba vizuri vyenye furniture zake ndani vinapangishwa Ubungo Riverside.
Vyumba hivi vina kitanda 5 x 6 na godoro, meza za kusomea, sehemu za kuwekea vitabu ama vitu
Vyumba hivi...
SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA
UMEME NA UTATUZI WAKE:
Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili
ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana
hapa kwetu Tanzania...
From China to Tanzania. Pata les wig kwa bei rahisi kabisa.
Hii elfu 30,000/= zimebaki Pisi 10.
Linaosheka na kusetika,Unaweza ukabadilisha na rangi pia.
Hii elfu 35,000/= zimebaki Pisi 8...
[emoji2769]Ngazi Ya Kupanda Kiuchumi Ipo Kigamboni
[emoji2769]Hakikaa Hata Wewe Unaweza 143000 TU Kila Mwezi.
[emoji2769]Kamwe Usiruhusu Mazingira Yanayokuzunguka Kuzuia Ukuwaji Wako
[emoji2769]...
Habarini Wakubwa
Naomba kuuliza bei za pempass za yami yam jumla na rejareja kwa mikoa mbali mbali
Dar es salaam pia naomba kujua bei
Natanguliza shukrani
Kuna deal kubwa linakuja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.