Nahitaji Chumba Master au Master na sebule Dodoma

Nahitaji Chumba Master au Master na sebule Dodoma

Food Scientist

Senior Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
102
Reaction score
185
Wakuu,
Aliye dodoma ambae anaweza nisaidia kupata Chumba Master (self contained room) kubwa au na sebule yake eneo la kisasa au Nyumba 300 naomba awasiliane na mimi.

Pia kama una namba ya dalali naomba unisaidiee niweze fanya mawasiliano nae.

Kuna zile nyumba za serikali 300 kama utaweza nisaidia jinsi gani naweza fuata utaratibu nitashukuru sana.

Tuwasiliane kwa namba 0764799179

Asanteni.
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
 
Mkuu nimetoa mawasiliano yangu hapo, au nipe namba nikupigie
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
 
Hebu chungulia 'kupatana.com';nadhani hitaji lako utafanikisha ndani ya dakika chache
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
Unamalizia kupiga tyre? Hyo nyumna itakuwa inatembea?
 
CHUMBA SELF/MASTER-NKUHUNGU DODOMA
Chumba master-nkuhungu
Kina tiles,gypsum
Kiko ndani ya fensi
Kodi-100,000/=
Maji+umeme vipo
Unalipa kwa miezi 6
0622111186
source: kupatana
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
Hii laki moja ni ya chumba au nyumba?
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
Kama bado hujapata MTU hebu nicheki PM nikuunganishe na Kijana Mmoja!
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
Laki Moja? Duh maisha rahisi sana Dom
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
Mkuu naomba mawasiliano yako ninashida
 
mkuu nyumba yangu iko pale nyuma ya kisasa PUB.



namalizia kupiga finishing na tyre



ina vumba 3

master moja kubwa
na vumba viwili na sebule.

stoo na jiko ndani.



ntaikamilisha katikati ya mwezi wa 11.


kama upo willing kusubiri . tuwasiliane


kodi ni sh. laki moja tu kwa mwezi.



wasalaaaam
Bado mkuu nyumba yako unapangisha??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom