Car4Sale Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 inauzwa

Ms Billionaire

JF-Expert Member
Jul 18, 2020
2,452
4,952
Habari Waungwana.
Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 Inauzwa Ipo kimara Dar es salaam.Imechukuliwa🤝
 
Mbona kama imepaki garage....inaumwa nini?
Ila Watanzania😂 kwa kuwa kuna gari nyingine hapo basi tayari ipo garage. Gari haipo garage mwenye nayo kaipaki alipotoka kazini jana. hata ukitaka kuletewa ulipo inakuja. Akiisoma hii comment mteja mwengine si ataona gari ipo garage kweli. Anyways ndo mteja mfalme tena acha tujifanye wajinga😅
 
Nimeuliza mkuu na umejibu vyema kuwa haipo garage..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom