Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba...
Kama inavyojieleza, natafuta mafuta hayo ya black seed oil na mafuta ya pumpkin seed (mafuta ya mbegu za maboga).
Mwenye nayo au kujua ntapata wapi anisaidie!
Nipo Shinyanga.
Ndugu wana JF, habari zenyu !!!!?
Mie ni soko la ndani na nje kwa vifaa vya mahospitalini (Hospital Equipments) na vitendanishi (reagents) mbalimbali.
Nina uzoefu katika usambazaji na uuzaji wa...
Salaam wakuu, nahitaji kufungua kiwanda cha kutengeneza furnitures kama vile vitanda, milango, madawati, makabati n.k nimesikia Dubai zinapatikana kwa bei rahisi sana, mwenye connection anisaidie.
Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta Nike Air Jordan ndefu. Najua Original siwezi bei au ata kuipata ikawa changamoto lakini angalau inayoendana endana na "uorijino".
Ndio nishacheki za...
Wakuu habari zenu.
Nauza mashine ya chostic zile za kulamba (za vijiti) kama za Azam.
Mashine bei ni Million 1, vikopo vyake ni 270 kila kimoja. Inagandisha chostic 80 ndani ya dakika 20.
Pia...
Kipindi hiki Biashara inayokuwa na ambayo Kwa siku itajitahidi kukuingizia kipato ni Biashara za vyakula.
Niliwahi kuinukuu kauli ya billionaire wetu hapa bongo MO
akasema yeye binafsi kajikita...
Nauza duka bei 3m haishuki, limelipiwa kodi mpka mwaka unaisha,lina leseni ya biashara inaexpire mwakani mwez wa 4 pia lina dawa za kuanzia na makabati 4 ya aluminium na mlango wake.
Location ipo...
Weka order yako chap, sio siku nzima unashinda kufanya usafi ndani (super ten inakurahisishia kusafidha nyumba), jamani masofa na ma kapet sio unakaa na sofa au kapeti linejaa vumbi, madoa ya...
Naitwa sharifu mussa, ni graphics designer wa Ot Technology, karibuni sana wateja kupata huduma mbali mbali za graphics designing ikiwemo label za bidhaa , business card, mabango ,.
Gharama zetu...
Habari zenu
Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba.
Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi...
Natumai wanajamiiforum mko pia kabsa natanguliza shukran. Naomba kufahamu office za FedEx dar es salaam zinapatikana wapi I mean full address na km kuna namba zao pia naomba
🙏🙏
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM
SIZE: 25m*25m
dakika 5 kutoka Bagamoyo Road
Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana
Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania)
Mawasiliano 0713096076
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.