Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja...
1 Reactions
1 Replies
708 Views
Maradhi, magonjwa yasiyo patiwa ufumbuzi wa haraka,huleta madhara makubwa hata kepelekea kifo. Unaweza kuepuka madhara hayo, Kwa kupata watalaam wazuri wa afya, Wenye vifaa vyenye uwezo...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, Nahitaji ardhi yenye rutuba hata kama ina mapori. Ikiwa na channel ya umwagiliaji au kua karibu na mto ntashukuru zaidi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni kweli na wala sio utani! Ni Laptop aina ya Dell Inspiron N5040. UWEZO. 1. Processor~ Core i3 @2.5 GHz. 2. Ram 4Gb. 3. Hard drive 500 Gb. 4. Betri 4 Hour's Bei Tsh 400,000/= Mawaliano:- 0622...
1 Reactions
5 Replies
847 Views
Eneo linauzwa. Ni robo hekari. Pembeni kumejengwa vyumba viwili vya kulala na sebule na choo... Lipo Chanika Nyeburu. Bei ni million 30. Halina udalali ... 0620593714
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu kama una uhitaji au unataka kuanza au kuboresha biashara yako, karibu hii selcom mashine Ukiwa nayo hii utaweza kufanya huduma nyingi sana Ikiwemo malipo mengi ya kimtandao kama...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna mwanafunzi wa law school (July intake) ya pale mawasiliano. Anatafuta chumba ambacho atakuwa na uwezo wa kwenda na kurudi bila kulazimika kutumia dala dala au boda boda. Kiwe kwenye...
1 Reactions
4 Replies
576 Views
MULTIMACA ni kirutubisho ambacho kimepewa tuzo kwa afanisi mzuri wa kazi yake mwilini KINATUMIKAJE Hii inaongeza nguvu za kiume kwa asilimia 100% yani kama utaitumia hii bidhaa tatizo lako...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Experienced in both NECTA and CAMBRIDGE SYLLABUSES over ten years. Natafuta kazi ya kufundisha full time mkoa wa Dar es salaam. Mawasliano:0766692230
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Karibuni Gale Tanzania Ltd
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Habari wadau! Kama una Laptop au Desktop umesahau Password ya user(admin) au Bios njoo tutatue tatizo. Gharama ya kuondoa user Password without delete data ni 10,000/= tshs na Bios Password...
0 Reactions
0 Replies
606 Views
Habari za muda huu wanajamii Forums, naomba msaada kwa anaefahamu Chumba kinachopangishwa maeneo ya Mbezi Beach (Africana, Makonde, Shule, jogoo, tangi bovu, kwa zena, au makongo). Chumba kiwe ni...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi. Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Play station ni used Hard disk 500GB Ina games ndani tayari za akaunti. Padi moja ila siyo nzima. Ninakupa na HDMI na Power cable. Napatikana Dar es Salaam Nicheki kwa namba 0682507838 au...
1 Reactions
0 Replies
543 Views
solar products. Inawaletea bidhaa ya taa[emoji362][emoji362][emoji362] 3 pamoja na switch zake pamoja na chaja za simu. Malipo ya awali 20000/= na malipo ya siku 750/= muda WA malipo mwaka 1ina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Wakuu nahitaji kibanda cha Mpesa kiwe cha chuma au mbao kisizidi LAKI 2. NIPO DARESALAAM.
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Shamba linalofaa kwa kilimo Cha parachichi au miti ya mbao linauzwa. Lipo Kijiji Cha matembwe ktk kata ya Matembwe, tarafa ya Lupembe wilayani Njombe na mkoa wa Njombe. Lina ukubwa wa eka 10 Bei...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom