Vifaa vya mahospitalini na vitendanishi

KANOSAWA

Member
Sep 16, 2016
55
39
Ndugu wana JF, habari zenyu !!!!?

Mie ni soko la ndani na nje kwa vifaa vya mahospitalini (Hospital Equipments) na vitendanishi (reagents) mbalimbali.
Nina uzoefu katika usambazaji na uuzaji wa vitendea kazi hivyo.

Kama una pharmacy, au hospital au kituo cha afya, au dispensari au maabara na ungetaka nikuuzie vifaa au vitendanishi, tafadhali usisite kuwasiliana nami.

Pia pengine umeanza ujenzi wa hospitali/kituo cha afya/ kliniki nk; na ulikuwa unafikiria utapata wapi vitendea kazi, naomba unipe kazi hiyo ya kukuletea mkoa wowote hata kama kituo chako kiko vijijini, nitakufikishia.

Hospital reagent 1.jpg
hospital_gynecology_chair_series1944.jpg
Hospital reagent 2.JPG
medical-equipment.jpg

Nitakutafutia kila kitendea kazi kilicho ndani ya uwezo wangu na tutafanya biashara vizuri.

Nakaribisha pia wahitaji kutoka nchi za Msumbiji, Malawi, Zambia, Congo, Burundi, Rwanda, Sudani ya Kusini na kwingineko, mzigo utakufikia tu.

Tuma quotation yako au order yako kupitia email hii johnselcius.js@gmail.com au nipigie +255 786 187 408; namba ya Whasapp ni +255 768 441 304.
 
Ni kweli nitakuwa pendind kwa muda.

Kumbe uko pending whatsapp and you know it kwamba utakuwa pending kwa muda, kulikuwa na ulazima gani wa kuweka number ya whatsapp na ume-invite mpaka watu kutoka nchi jirani wanakupataje na whatsapp haupatikani mkuu...?

Unafaham kuwa unafanya biashara kubwa hiyo mkuu...?. Unawaambiaje wateja wako kiongozi...?
 
Wateja wangu nawaambia karibu sana. By the way Whasapp ipo isipokuwa huwezi kunipata kwa muda kama simu moja hiv yaani 24 hrs. and ukinikosa kwa whasapp, utanikol, ukinikosa kwa call, utanimeil na ukinikosa huko koote, utaniJF; so I am reachable.
 
Aseee duh
 
Aseee duh

Ndio wafanyabiashara wetu mkuu.

Navuta picha tu mtu mzima na heshima zake anasoma bandiko la biashara kubwa kama hiyo anaona "HABARI ZENYU".

Kama ni biashara anaweza akapatwa na walakini kutokana na vitu vidogo tu ambavyo mtu anachukulia simple tu lakini vikaweza kuondoa credit flani hivi.

Haya kila la heri.
 
Back
Top Bottom