Mashine za ice cream, chockstic na juice aina Zote

Mashine za ice cream, chockstic na juice aina Zote

NAJIDAKIA STORE

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
261
Reaction score
126
Kipindi hiki Biashara inayokuwa na ambayo Kwa siku itajitahidi kukuingizia kipato ni Biashara za vyakula.
Niliwahi kuinukuu kauli ya billionaire wetu hapa bongo MO
akasema yeye binafsi kajikita zaidi kwenye Biashara za vyakula Sababu kitu cha kwanza mtu akiamka anawaza atakula nini? kabla hajafikiria chochote, tumbo kwanza lishibe
kutokana na hivyo sote bila ubishi tutakubaliana "BIASHARA YA CHAKULA NI NAMBA MOJA"
maana bila kula huwezi kuishi

sasa turudi kwenye maada wale wanaohitaji kuingia kwenye Biashara ya kuuza ice cream,chockstic,juisi na popcorn
hizi ni Biashara Ndogo Ndogo ambazo zinagusa wengi.
Na ili ufanye Kwa ufanisi ni muhimu kuwa na mashine yako
sasa
zipate Mashine imara na bora bila kusahau ushauri na kufundishwa namna ya kutengeneza Kwa ubora pia kuifanya Biashara yako ivutie mteja arudi tena kwako

Najidakia store tupo Kwa ajili yako

mashine ya ice cream utaipata Kwa million mbili na Laki tano

mashine ya chockstick million mbili na Laki saba
mashine za juisi million moja na Laki tatu
mashine ya popcorn kuanzia Laki tatu na nusu
lolote tupigie 0762612213 tunapatikana mbezi beach
FB_IMG_1558335042403.jpeg
FB_IMG_1558335197804.jpeg
FB_IMG_1558335061205.jpeg
FB_IMG_1558335143714.jpeg
FB_IMG_1558334909285.jpeg
FB_IMG_1558334957039.jpeg
FB_IMG_1558334888145.jpeg
FB_IMG_1558334881179.jpeg
 
Back
Top Bottom