k-bee JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 977 Reaction score 1,110 Sep 25, 2022 #1 Kama inavyojieleza, natafuta mafuta hayo ya black seed oil na mafuta ya pumpkin seed (mafuta ya mbegu za maboga). Mwenye nayo au kujua ntapata wapi anisaidie! Nipo Shinyanga.
Kama inavyojieleza, natafuta mafuta hayo ya black seed oil na mafuta ya pumpkin seed (mafuta ya mbegu za maboga). Mwenye nayo au kujua ntapata wapi anisaidie! Nipo Shinyanga.