Natafuta fedha za zamani Tanzania

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Hello JF,

Natafuta coins za zamani za Tanzania. Nataka kununua kwa bei ghali

Nitapata wapi.
 
Msimuuzie huyu isijeikawa ana+aka kuzi2mia KUFOJI hizi coin za kisasa. C angeenda BOT kama anadhamira nzuri na pesa za kuzitosha za kununulia.
 
Uzushi mtupu.,Mod please move this thread kule kwenye matangazo madogo madogo
 
Hello JF,

Natafuta coins za zamani za Tanzania. Nataka kununua kwa bei ghali

Nitapata wapi.

kakak mimi ninazo za zmani saana kunahadi za mwaka 1880-1890 ninazo na zipo nyingine ambazo hazipatikani kabisa kam ile ina simba
 
Hello JF,

Natafuta coins za zamani za Tanzania. Nataka kununua kwa bei ghali

Nitapata wapi.

huo mchezo ulishapita zamani kama vile vijiji vya ujamaa so humapati mtu humu, well nenda kwa Wahindi waliachiwa magunia kadhaa ya hizo fedha kwa kukurahisishia hapo!
 
it would be reasonable if you could mention specific coins and put the price tag against it, you can get anything with money but ofcourse at a right price!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom