Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,040
- 1,273
Habari mazee!
Nahtaji fundi umeme mzuri wa magari anaejua sio mpiga ramli....ka gari kangu kile kidude cha ku charge simu au kupachika mp3 hakipitishi umeme toka jana,....naishi maisha ya tabu nipo kwenye gari lakini nahangaika simu inaisha charge,nimenunua zile mp3 charge za kuchajia zaidi ya tano zote hazifanyi kazi,nikijaribu kwenye gari la jamaa yangu zinafanya kazi ila kwangu hola.....naomba kwa mtu anaemjua fundi mzuri kwa hapa Dar anielekeze au aniunganishe nae,nipo Maeneo ya Sinza hapa!