StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,553
- 7,688
Salaam wakuu,
Kama kuna mzazi anahitaji mtoto(watoto) wake wafundishwe tuition nyumbani masomo ya Science na Mathematics(Primary) pia walelewe katika mfululizo maalum wa mafundisho ya Kikristo ili kumjenga mtoto kiroho na kumsaidia kumjua na kuwa karibu na Mungu kwa maeneo ya Dar nipo Kwa ajili ya hilo.
Uzoefu wangu katika kufundisha watoto Kwa masomo tajwa hapo juu ni miaka 11. Mtindo wa ufundishaji utakuwa ni nadharia sambamba na vitendo(Science na Mathematics). Lengo ni kumjengea mtoto uwezo wa kutumia maarifa anayoyapata katika maisha na mazingira halisi ya kila siku. Vifaa vya kuanzia kufundishia majaribio kwa vitendo ninavyo. Mafundisho ya kumsaidia mtoto kumjua Mungu katika misingi ya imani ya Kikristo ni huduma itakayokuwa inatolewa bure na itafanyika pindi tu wazazi watakaporidhia Kwa kutambua thamani na umuhimu wake.
Muda ni jioni kwa weekdays. Kwa weekend, asubuhi itakuwa vema zaidi. Mkataba utakuwa Kwa week na utakuwa renewable kadiri mzazi atakapoona manufaa ya huduma hiyo. Gharama ni makubaliano.
UJUMBE: Kumkaririsha mtoto nadharia tu hakutoshi kumuandaa kukabiliana na changamoto za maisha lakini pia hakutoshi kumuandaa kuwa competent katika career yake.
Kwa maswali na ufafanuzi zaidi karibu PM.
Muwe na jioni njema,
ASANTE!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app