Hiyo link ni Display na bei zake
Hiyo bei ni pamoja na ufundi
Share link
Epateletech epate
====
SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu
Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch...
Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza
(kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara)
Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa...
Habarini Wadau,
Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa SAKINA Arusha, kiwanja kimepimwa na hakina mgogoro wowote, ni cha familia iliyokubaliana kuuza.
Kiwanja kinafaa kwa uwekezaji wowote wa...
Naomba msaada kama kuna mtu ana levelling staff au anajua mahali naweza kupata, iwe used au mpya ila kwa bei chee (bei ya kirafiki). Nina shida nayo very soon.
Asanteni.
Hello family,
Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya Kimara temboni mpaka Kiimara mwisho.
Sifa za nyumba
Vyumba vitatu, sebure na jiko, Fence and stand alone. Huduma muhimu kama maji na...
Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali.
Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia...
Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280...
Wireless Earbuds
-Touch sensor
-Waterproof
-Price: 25,000/=
Contact: 0653776099
Free delivery service ipo ndani ya Dar es salaam
Sent from my Nokia 6.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nauza Samsung galaxy A53 5G mpya kabsa fullbox mimi nilinunua 780k dar ila nimepata dharura hapa ya ghafla naomba mwenye 650k nimuachie simu hii ina GB 128 Ram 8 niko mwanza nyegezi
PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE
Wakuu ni...
Hopefully mko Sawa kabisa. Kuna kamsumari fulani kanaitwa (PUSH CLUTCH) Kwa mujibu wa fundi pikipiki. Huo msumari kazi yake ni:
Wakati unabana clutch, kenyewe Kule ndani kanasukuma ili kutenga na...
SunNova Solar Inverter Pure Sine Wave (Brand New/Haijawahi kutumika)
Falcon Eco 2000VA/24V
Power - 1,300W
Weight 15.5kg
Ninapatikana Mbezi Louis (Mageti)
Kama upo interested nicheki 0629 019820
Kitanda chenye ukubwa wa tano kwa sita kinauzwa, bei ni Tshs 75,000 maongezi kidogo yapo.
Napatikana Mbezi Makabe, kama unahitaji piga simu 0712268434 tufanye biashara.
Karibuni
Kwa wale wanafunzi na mtu yeyote binafsi ambae angependa kuweka windows 11 kwenye mashine yake. Tunaweka window 11 ki proffesional zaidi. Tunakuwekea ikiwa na keys na application zinginezo kama...
Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-).
Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. .
Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
TANGAZO LA KUUZA NYUMBA
NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM
NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI)
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.