Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello waungwa nauza Fiat yangu ya kubebea mchanga Iko kwa Mrombo ARUSHA . Iko vizuri sana
Ni kuwasha na kwenda Korongoni . Sababu za kuuza ni madereva wananizingua . Bei ni milioni 15 maongezi yapo
Ni kuwasha na kwenda Korongoni . Sababu za kuuza ni madereva wananizingua . Bei ni milioni 15 maongezi yapo