Phone4Sale NAUZA SMARTPHONE OPPO R7 PLUS

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:-
64GB storage
4GB ram
6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana
13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu. bei yake ya dukani ni 700k
SIFA ZAIDI
baterry 4100mah
4G network speed
615 snapdragon chipset
pprotection corning gorilla glass 3
GPU adreno 405
video 1080p@60fps,720p@120fps
Screenshot_2023-01-14-21-24-19-90~2.png
 
Haina swagger 😀😀 hata kama ni 700k mara mia ata Google pixel 5 au 6
ni old version yenye viwango vya juu sana, appearance yake iko chini kulinganisha na simu za kisasa lakini katika ubora wa kimatumizi iko juu sana kuliko hata infinix nyingi sana za hivi sasa. unaweza ona hata price yake ilivyo ukifananisha na infinix za sasa utagundua kitu. mimi nahitaji 130k niko ugenini sina pesa
 
nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:-
64GB storage
4GB ram
6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana
13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu. bei yake ya dukani ni 700k
SIFA ZAIDI
baterry 4100mah
4G network speed
615 snapdragon chipset
pprotection corning gorilla glass 3
GPU adreno 405
video 1080p@60fps,720p@120fps
View attachment 2519446
Ni single line au ina line mbili?
 
Yaani kutoka 700,000 hadi 130,000???

Huo mzigo endelea kuvimba nao tu
 
Yaani kutoka 700,000 hadi 130,000???

Huo mzigo endelea kuvimba nao tu
sasa si used mkuu, pia kwa sababu za kimwonekano kulingana na mentality ya watu kwa sasa zimenifanya kuuza kwa bei hio. nahitaji pesa mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom