tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,751 Reaction score 31,078 Feb 18, 2023 #1 Nazitafuta sana sizipati hizi mwanandani za wanaume.Ni za Uturuki.Mwenye kujua please.
C clinician JF-Expert Member Joined Mar 5, 2014 Posts 2,334 Reaction score 5,527 Feb 18, 2023 #2 Arusha sijui,ila dunia kijiji agiza Dar unatumiwa bila shida....Lakini za kawaida sana hizo kuchakaa mapema kuko pale pale
Arusha sijui,ila dunia kijiji agiza Dar unatumiwa bila shida....Lakini za kawaida sana hizo kuchakaa mapema kuko pale pale
MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,497 Reaction score 15,851 Feb 18, 2023 #3 Mkuu sijui waturuki,waisrael unajichanganya tu,boxer ni calvin klein ndio kidogo itakupa mileage...
Murashani GALACTICO JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,519 Reaction score 5,423 Feb 18, 2023 #4 Arusha vitu bei ghali sana nn shidaaaaa