Jamani ndugu zangu nauza shamba la miti lipo Mufindi uchindile ekali 111 na ktk hizo zimepandwa ekari zaidi ya 30 miti ya mlingoti ambayo inakua kwa muda mfupi ndani ya miaka 7 unavuna, unaweza...
Nina uza mifuko ya kuhifadhia nafaka inabeba kilo 120
Iko pisi 600. Mfuko mmoja nauza shilingi 500
Mahali ni Goba ,Dar es Salaam
Mahali popote ukitaka nakutumia
Mawasiliano 0654757823
Njoo na Tzs. 550,000/= uchukue sim ama kama una Galaxy S21 njoo tufanye exchange nikuongezee na pesa.
HAINA CRACK YOYOTE NA RISITI IPO
Simu: 0759979361
Kuna mdada kanisusia na mimi natumia Samsung so hazifanyi kazi kwangu naomba kujua bei zake. Na zinatumika kwenye Iphone gani?
NB:Siziuzi
Ilikuwaje nikasusiwa mada itakuja.
Karibu kwenye huduma ya Tax Consultancy! Tunatoa huduma za ushauri wa kodi kwa wafanyabiashara, watu binafsi na mashirika ya umma katika kuhakikisha kwamba wanatimiza majukumu yao ya kodi kwa...
Uzi huu ni maalumu kwa bidhaa used pekee,kwa bei ya used na kwa walio na utayari wa bargaining..usilete bei zako za dukani hapa
Weka bidhaa yako na mawasiliano mkamalizane dm au ikibidi hapa...
Shule 12 tu za awali nazipa offa ya mifumo
1. Shule za (msingi) Primary unapata mfumo wa wanafunzi hadi 400 darasa moja kw tsh 10,000 tu wenye ratiba, ripoti na matokeo.
2. Shule za sekondary (O...
Habari wadau!
Kuna BP Machine hapa mpya pamoja na medical equipment zingine mpya,zote kwa pamoja zinauzwa Tsh 70000/=tu,
Mwenye uhitaji apige au atume what sapp kwenye namba hiyo +255682017479.
A plot for sale Kibaha Kwa Mathias.
Ukubwa: Mita 20 kwa 20.
Umbali: Km 5
Bara bara ya lami.
Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000.
Umeme na maji ya dawasco yapo.
Huduma za kijamii zote zipo.
Kipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.