Uwekezaji wa mashamba makubwa Mufindi Uchindile, mashamba yamepimwa na hati ziko mbioni kutoka karibuni wadau

luje

Member
Mar 16, 2023
21
8
Jamani ndugu zangu nauza shamba la miti lipo Mufindi uchindile ekali 111 na ktk hizo zimepandwa ekari zaidi ya 30 miti ya mlingoti ambayo inakua kwa muda mfupi ndani ya miaka 7 unavuna, unaweza kuuza kama nguzo, au kupeleka kwenye viwanda, au kiwanda kuja kununua hiyo miti, na pia kuuza kwa ajili ya mbao pia bila kusahau mrunda shamba hili lipo sehemu nzuri bei yake kwa kila eka pamoja na zilizo pandwa ni 130000, maongezi yapo pia, mimi ni mhusika wa shamba hilo ukihitaji waspu no 0782715550, miti ina mwaka mmoja eka zaidi ya 30 View attachment 2555537View attachment 2555536
20230304_081121.jpg
 
Ninauza shamba la miti lipo Mufindi Uchindile ekari 111 na zimepimwa, hati ipo karibu kutoka na ktk hizo zaidi ya ekari 30 zimepandwa miti ya mlingoti ambayo hutunika kwa nguzo, mrunda, mbao na kazi nyingine za viwandani karibuni.
 
Kama kunafikika na gari msimu mzima na shamba halina migogoro ya kifamilia. Kwa mwenye pesa achangamke, kupata ekari zaidi 100 kwa pamoja ni bahati sana.
 
Jamn ndugu zangu nauza shamba la miti lipo mufindi uchindile ekali 111 na ktk hizo zime pandwa ekali zaidi ya 30 miti ya mlingot ambayo ina kua kwa muda mfupi ndani ya miaka 7 una vuna una weza kuuza kama nguzo, au kupeleka kwenye viwanda, au kiwanda kuja kununu hiyo miti, na pia kuuza kwa ajili ya mbao pia bila kusahau mrunda shamba hili lipo sehemu nzuri bei yake kwa kila eka pamoja na zilizo pandwa ni 130000, maongezi yapo pia,mm ni mhusika wa shamba hilo uki itaji waspu no 0782715550, miti ina mwaka mmja eka zaidi ya 30 View attachment 2555537View attachment 2555536View attachment 2555538
"..bei yake kwa kila eka pamoja na zilizo pandwa ni 130000,.. "

Bei Laki na Elfu Thelathini kwa heka moja lililo na miti yake ???

Naomba kuelewa hapo.
 
"..bei yake kwa kila eka pamoja na zilizo pandwa ni 130000,.. "

Bei Laki tatu na Elfu Thelathini kwa heka moja lililo na miti yake ???

Naomba kuelewa hapo.
Nauza hiyo bei kwa ofa na kwa mtu anaehitaji kuwekeza zilizopandwa nazo bei ni moja hiyo 130000, na ambazo hazija pandwa pia bei ni moja pia lkn atae chukua shamba lote ndyo atae faidi maana karibia robo ya shamba imepandwa karibu
 
Back
Top Bottom