Uzi wa bidhaa used tu, kwa bei nafuu

Complicator

JF-Expert Member
Aug 23, 2013
2,198
3,566
Uzi huu ni maalumu kwa bidhaa used pekee,kwa bei ya used na kwa walio na utayari wa bargaining..usilete bei zako za dukani hapa

Weka bidhaa yako na mawasiliano mkamalizane dm au ikibidi hapa hapa.

Uaminifu ndio kila kitu,Kazi iendelee.

Hapa nina vinanda kadhaa vya mtumba,bei ni laki moja na themanini tu (180,000/=) kwa kila kimoja.

Nicheki DM au whattapp 0765981354,kwa picha zaidi na video.

Malipo ni baada ya kufika ofisini kukagua mzigo,usilipe kabla hujakagua.

Ofisi ni kinyerezi,mikoani naagiza kwa gharama ya mteja.

View attachment 2052319View attachment 2052320View attachment 2052322View attachment 2052321
IMG-20211217-WA0031.jpg
 
Back
Top Bottom