Sijakwambia nataka ili kuhakiki, nimekwambia weka picha unishawishi. Rahisi tu mbona mkuu.Mnunuaji ua anahakiki mali kabla ajatoa hela na sijakwambia nitakuletea ulipo ni utakuja kuzibeba mwenyewe na izi ni bati wala si simu
Hivi hizi bati za Taishan ni imara au ni ili mradi tu ?Bati simba dumu nyeupe mpya zipo 30 moja nauza 19,000 =View attachment 2532511