Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaamz wana JF. Natafuta professional cleaners wa ndani ya gari. Namaanisha kusafisha floor, roof, viti, board ya ndani kwa ujumla, dash board NA MFUMO MZIMA WA HEWA YA AIR CONDITIONER. Note...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa yeyote anaye hitaji digital camera: sony,fujitsu,canon,Ricoh etc (zote zinanzia 12 megapixel) Range ya bei Tsh 280,000 to 340,000 2. Digital Camcoders; Range Tsh 600,000 to 1,400,000 3...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tembelea blogu ya Mkahawa wa vitabu www.somabook.blogspot.com , Unaweza kuandika ushauri na maoni mbalimbali kwa ajili ya kuboresha zaidi blogu hiyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nimesaidiwa mara nyingi hapa. Shukrani za dhati kwa JF team. Asanteni sana wote pia. Ninaomba kusaidiwa zaidi. Ninatafuta wataalamu /professionals wa interior & exterior design na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MSICHANA Khadija Daudi (22), mkazi wa Mbagala Charambe aliuawa kikatili na mumewe kwa kuchomwa na kisu mgongoni kwa kile kilichodaiwa kuwa ni baada ya kukataa kuamka usiku kwenda kuokota embe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waungwana heshima mbele kwa wote, Jamani mwenzenu nimepata vihela kidogo nataka kuagiza gari angalau ninayo ipenda, napenda sana nissan x trail lkn sijui kuhusu hizi gari je zina matatizo gani...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Lipo Chanika Sungusia. Lina ukubwa wa heka mbili.Lina miti ya mimea mbali mbali ya matunda kama maembe, machungwa, minazi n.k pia lina aina nyingine za mimea ya mboga mboga. Lipo karibu na shule...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wasalaam wana JamiiForums, Mimi naitwa Kanyika ninafuraha kubwa kujumuika nayi katika kuliendeleza hili libeneke. Nitajifunza kutoka kwenu nanyi mtapata chochote kutoka kwangu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIDEO - Ukatili wa Wapishi wa China Samaki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MFANYABIASHARA Edmund Liwa anayefanya shughuli zake maeneo ya Kariakoo, ameuawa na majambazi baada ya kupigwa risasi wakati akiwa na wenzake nyumbani kwake Kimara Temboni jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
IDADI ya watu ambao bado haijafamika wamekufa baada ya kufunikwa na mlima uliosababishwa na mafuriko yaliyotokea usiku wa kuamkia leo huko kata ya Manka Wilayani Same mkoani Kilimanjaro...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu wana JF leo mchana nimepata msiba
0 Reactions
102 Replies
11K Views
WAKAZI waishio mabondeni wamepuuza agizo la Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Evance Balama la kuwataka wakazi hao waondeke maeneo hayo kwa kuwaepusha na madhara ya mvua zinazotarajiwa kuanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jf! natafuta mpishi anayejua continental cuisine, contact: ysfmab@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wana JF kulala mahali pazuri ni jambo jema kamata kitanda kwa bei ya punguzo vimebaki vitanda vitatu tu kwa bei ya 250,000 tu kwa kila kimoja.Wasiliana kwa akamanyusi@yahoo.co.uk au 0713876210
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndege ya kampuni ya KLM Inawasili sasa kutoka amsterdam..kama unasubiri ndugu yako/rafiki tunakutakia usiku mwema KLM AIRPORT
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Toyota Mark II,GX100,VVT-I Engine, 2000 Model,cc 2000,imetembea japan km 88,000. bei Milioni 9,mazungumzo yako kidogo,imelipiwa ushuru na imesajiliwa, Engine ni sawa na cresta gx100 new model ama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni mjasiriamali mdogo kwa sasa ninahitaji kufungasha bidhaa zangu kwa vifungashio vya kisasa (export quality) na kuuza bidhaa zangu kwenye supermarkert au kusafirisha kwenda nje naomba kama...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Jinsi ya KUPAISHA (upload) profile picture, avatar and signature JF - Video http://www.youtube.com/watch?v=cDgSikDxRuA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jinsi ya KUPAISHA (upload) picha JF - Video http://www.youtube.com/watch?v=0se1Ymoe29g Warning: Nudity / Porn: Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year's old members...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…