Wakuu mwenye kuhitaji used Blackberry Curve 8310 GSM unlocked
Imetumika kwa miezi kama 8
Specification zake please just google
Bei 250,000/= na ipo katika hali nzuri sana
Gurantee 3 months
Kama...
Wadau naombeni ushauri kuhusu Mercedes Benz A-Class A160 AMBAYO NIMEWEKA LINK YAKE HAPA.JE HIZI NI NZURI? SPEAR ZINAPATIKANA.BEI YAKE CIF WANASEMA NI US $3415.jE NI...
Jamani mimi sina tangazo ila ninaswali kuhusiana na matangazo mbali mbali tunayoyasikia redioni hasa kwa makampuni ya simu....
Ivi wanaposema kila baada ya tangazo kuwa masharti na vigezo...
Kipo Goba mpakani karibu na Goba Secondari. Ukubwa ni 40*37
Ni rahisi kufikika toka Mbezi ya Kimara ni dakika 50,kipo karibu na barabara.
Hakijapimwa na hakina hati.
Bei ni 6 million
kwa...
Blackberry original toka U.S.A zinauzwa(zina internet bila ya kulipia kwa mwezi),yaani bila kulipia kwenye huduma za blackberry wakuu!!!!Kuna Blackberry 8820(zina Wi-Fi),Blackberry...
asalm alekhum waungwana ! mimi ni mkulima wa tangawizi kigoma ,nilikuwa naomba msaada wa mchakato wa kuuza tangawizi zangu kama 20 tons hivi ,kiusalama maana naogopa kutapeliwa na wahuni ,pia kama...
Habari za kazi Wana JF wenzangu,
Nilifiwa na Mama yangu mzazi tarehe 26/06/2011 na mazishi kufanyika tarehe 29/06/2011, niliondoka kwenda nyumbani (mkoani) tarehe 27/06/2011 kuwahi mazishi...
I do various graphic designs at very cheap rates! Get your LOGO, POSTER, FLYER, BROCHURE, BUSINESS CARDS, etc designed in a professional way! Call now at: richie_massive@yahoo.com or 0767 228404
Je unataka kuanzisha biashara na kuiweka katika mtandao? Ni-PM ukinipa proposed domain name katika format: www.mtandaoweb.com nikuangalizie availability na kukupa jinsi ya kufanya malipo.
All,
I have shipped used buses from Japan, they are at a good condition and able to go anywhere at any time. they are available and can be hired for any event at any time.
Commission will be...
5 doors, manual transmission, petrol black in color, 78456km, Duty paid, not registered 2000 year of manufacture in good condition, Imported recently from UK. Price 18mil. Negotiable. 0717114409
Kama kuna mtu ameshawahi kuagiza gari kutoka kwa befoward japanese car exporters naomba anipe ushauri juu ya reliability yao katika kuagiza magari kutoka kwao coz naona jamaa bei zao kiasi ni...