Nahitaji scania semi trailer

Nahitaji scania semi trailer

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
353
Reaction score
44
Nahitaji scania semi trailer eliyo ya bei nafuu nae elio bomba sana kichwa na trailer yake kama unayo ni PM or ni sms 0712976729
 
Enzi za Mwalimu tungekuuliza umetoa wapi hela ya kununulia trailer na kichwa chake?
 
Mkuu Wilshere unayo m80? Kama ndio then nipm tumalize biashara mkuu.
 
Model Gani na ya mwaka gani? Hiki kichwa nakuachia kwa 50m.....sina tela

S4842V13647.jpg
 
Hahahahah,kama mtoa mada alikua ana'beep wadau wamempigia
 
Model iwe stemline or 124 ambao nikichukuwa nikwenda kupakia moja kwa moja sitaki inayohitaji matengenezo.
 
Kaka mwenye 94 d picha nyuma naona tipping trailer inakwendaje hiyo pm me on 0755441210
 
Back
Top Bottom