Msaada wako unaitajika..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wako unaitajika.....

Discussion in 'Matangazo madogo' started by nichangie, Jan 8, 2012.

 1. n

  nichangie Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  God said
  "I was hungry, and you gave Me something to eat; I was thirsty, and you gave Me something to drink; I was a stranger, and you invited Me in;naked, and you clothed Me; I was sick, and you visited Me; I was in prison, and you came to Me.‘Lord, when did we see You hungry, and feed You, or thirsty, and give You something to drink?The King will answer and say to them,
  Truly I say to you, to the extent that you did it to one of these brothers of Mine, even the least of them, you did it to Me."
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  toa account no. ya malipo ya ada yanapotakiwa kufanyika

  wasamaria wema wapo wengi, and i believe they will hardly feel and do the needful

  i wish you all the best
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wewe P. Helmes mambo vp?
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  tupe habari mkuu, weka link banaa
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kijana, wewe uko uni halafu unaomba grant kimkato hivo unategemea nn? Toa maelezo kiurefu ili utu-convice!
  1. Weka Majia halisi
  2. Eleza Historia yako kwa ufupi
  3. Eleza unasoma nini chuo gani
  4. Weka mchanganuo wa mahitaji yako halisi
  5. Eleza kiasi ulicholipa awali na ulikitoa wapi
  6. Weka vielelezo vyote muhimu
  7. Eleza ni kwa nini tusiwape msaada wa namna hiyo yatima ambao wamechaguliwa lakii wamekosa hata nauli, achilia mbali ada!
  8. Kwa ufupi Usiwe na aibu, Jieleze kwa ufasaha, siyo kuweka namba ya simu au akaunti tu, mtu yeyote anaweza kutapeli namna hiyo.
  9. Laki tatu ni pesa ndogo sana, lakn kwa hali ya sasa kila mtu yuko makini asitumbukize pesa mahala pasipostahili!
  KILA LA HERI MKUU!
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hizo stori za kwenye hischo kitabu wengine hatuzisomi bana, wachilia mbali kuziamini. Msome Casssandra E. "The old spells of the countryside talk of love, health, money and happiness, and were practised by ordinary people, especially women, everywhere. These have been lost from the everyday world, and the Wiccan movement, with its formal practice of witchcraft, has ironically taken the magic away from the lives of the majority, by its emphasis on obscure gods and strange rituals." Huwa namwelewa kwa urahisi zaidi!
   
 7. DullyM

  DullyM Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkuu mambo kama haya ungeweka Kitu unachokisomea kama ilivyoelezwa hapo juu na kuhakikisha kuwa huna nia ya kutapeli ungeweka direct account ya kulipa iyo ada na vigezo vyake vyote hapo chuoni. na sio watu wakuletee wewe mkononi Namba za simu ungeweka za idara hiyo wanayokudai ada ili kuepuka kwamba watu waingie huruma na kukusaidia kisha kesho uko na sista fulani unakata vilabu. Kuwa muwazi na jaribu kufikiria vile vitakavyowazuia watu kukusaidia na viweke wazi ili upate kusaidiwa. laki tatu ni pesa ndogo sana kwa watu wengi humu ndani lakini hakuna ambaye angependa kuirusha tu dirishani.
  Kila la kheri
   
 8. n

  nichangie Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umefananisha nini
   
 9. n

  nichangie Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Liverpoolfc----- NAONA UMEFANANISHA WATU.
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  we muhuni tu! nenda kwa mkuu wa wilaya upewe kibali cha kuchangiwa!
   
 11. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eheee mkuu iyo ndo njia ya kujitaja
  ni pm nikupe maelekezo.........
   
 12. n

  nichangie Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok, jamani naitwa alex maridadi,
  nipo udsm,
  kwa maelezo waweza ni pm,
  Herrypeter1 ni njia ya kujitaja kivipi?
   
Loading...