Wana JF karibu mpendeze na Mama P Online Store

mwanaidi mgaza

Senior Member
Dec 10, 2012
141
225
Habari wakuu.

Karibuni sana "pendezana mamap"kwa mavazi aina tofauti kwa jinsia zote wanaume na wanawake.

Nguo zinapatikana kwa size tofauti kwahiyo ukiulizia size yako utapata.

√ • Mashati mazuri kwa wanaume

√ • Magauni kwa akina dada + wamama ( kwa ofisini pia casual wear)

√ • Viatu vizuri vya kiume

√ • Viatu kwa wanawake

√ • and much more.

Pia ukitaka kununua kwa jumla karibu sana.

Napatikana Dar es Salaam, Kitunda (nafanya delivery kwa mliopo Dar. Delivery ni elfu 3) . Kwa walio sehemu tofauti na Dar hakuna tatizo ninaweza kutuma kwa uaminifu mkubwa.

Karibuni sana. Tafadbali nitafute kwa number 0693098144 au 0713076569 call or WhatsApp link

Partager sur WhatsApp

Karibuni sana wakuu


Tshirt na mashati mikono mifupi
Bei ni 22000
Size ni large hadi 2xl
IMG-20190207-WA0097.jpeg
IMG-20190207-WA0098.jpeg
IMG-20190207-WA0092.jpeg
IMG-20190207-WA0088.jpeg
IMG-20190207-WA0086.jpeg
IMG-20190207-WA0079.jpeg
IMG_20190207_161127_599.jpeg
IMG_20190207_161127_598.jpeg
IMG_20190207_161127_601.jpeg
IMG-20190207-WA0036.jpeg
IMG-20190207-WA0012.jpeg
IMG-20190207-WA0014.jpeg
IMG-20190207-WA0015.jpeg
IMG-20190207-WA0017.jpeg
IMG-20190207-WA0018.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom