fredrick francis
New Member
- Sep 26, 2022
- 1
- 0
Samahani wakuu, naomba kujua bei za mashine ya kubind na lamination
Mkuu unaweza nielekeza ni kariakoo maeneo gani naweza pata binding machine kwa bei hio?Binding 100k
Lamination 85k
Kariakoo.
Maeneo ya kipata paleMkuu unaweza nielekeza ni kariakoo maeneo gani naweza pata binding machine kwa bei hio?