supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,007
- 1,944
Greetings wakuu.
Inatafutwa Crown Majesta yenye hali nzuri, isiwe na kipengele chochote kwenye engine(hapa naomba nitilie mkazo wakuu, engine isiwe kimeo kwa namna yoyote ile). Ikipatikana Majesta kuanzia 2004 na kuendelea itapendeza zaidi.
Kama uko nayo au unamjua mtu anauza kindly Email mhusika kupitia info@tanganyikahalisiexpeditions.com
Au whatsapp 0715318523