Pata kitabu cha kukuongoza kuongeza kipato chako kwa Biashara ya Steshenari

Jun 5, 2023
8
7
Kila mtu anajiuliza hivi naanza vipi kufungua ofisi yangu ya Steshenari? Au inatakiwa niwe na kiasi gani?

Jibu ni moja tu sis kama MachapishoAgentLtd tupo kwaajili ya kukufungulia milango ya mafanikio kupitia biashara Steshenari
Kivipi na Kwa namna gani.

Kuna mtu kabisa Hana pesa za kutosha kabisa kuanzisha biashara ya Steshenari lakini ana Ndoto kubwa siku moja aje amiliki Steshenari kubwa sehemu yeyote hapa Tanzania Sasa hujachelewa fata maelekezo.

Kuna mtu Tayari ana pesa kiduchu kabisa isiyozidi ML 1.5 na anahitaji aanze biashara yake huyu ndo namtaka na namwambia kwamba bado ana Ndoto na anaweza kabisa kuanza pesa hiyo na akaja pata mafanikio makubwa sana.

Namanisha kwamba kutokana na pesa hiyo kiduchu kuna maelekezo mazuri na lazima upate Elimu kuhusiana na maswala ya Steshenari na utakuja kuwa mtu Tofauti siku moja.

Kuna mtu ana pesa kama ML 3 Kaniuliza vipi kulingana na pesa hii naweza fungua Steshenari mahali popote na ikawezekana?

Jibu ni moja tu kwamba pesa hiyo ni mtaji mkubwa sana Kwa kuanza biashara ya Steshenari Kwanini Kwasababu kupitia Pesa hii na ukipata Elimu ya kutosha utakuwa mtu tofauti sana ndani ya mwaka mmoja.

Pia kuna mtu ana mtaji mkubwa kama wa ML 5 kupitia mtaji huu unaweza fungua Steshenari matata sana na huwezi amini Cha msingi tu pata Elimu kuhusiana na maswala ya Steshenari.

MachapishoAgentlimited imeandaa kitabu kinachoitwa TAJIRIKA KWA BIASHARA YA STESHENARI.
Ndani ya kitabu hiki kina vitu vingi sana utajifunza ikiwemo jinsi gani ya kuendesha Steshenari Yako, jinsi gani ya kuweza kutafuta masoko mbalimbali pia itakuelekea namna ya kuweka muonekano mzuri kwenye Steshenari Yako.

Pia utaona idadi ya vifaa muhimu ambavyo utaweza kuanza navyo na mwisho wa siku kuwa na ofisi kubwa sana

Kitabu kinauzwa Kwa njia ya softcopy siyo kikubwa sana ni kidogo ila ukikisoma kitabu hiki hakika utapata mwanga mkubwa sana na utajua ufanye nini.

Softcopy itagharimu TSH 2000/= badilisha maisha Yako kupitia biashara yako ya Steshenari Kwa kupata mwanga mkubwa zaidi kupitia kitabu hiki cheye gharama ndondo sana

Ukihitaji kitabu hiki wasiliana nasi MachapishoAgentLtd
Kwa

Call/WhatsApp 0657709912
1685985981599.jpg
1685986191609.jpg
 
Back
Top Bottom