Kipo kama meter 150 toka kwa Makamba tegeta njia panda ya wazo hill.
ukubwa ni nusu eka ,hakijapimwa ila kina documents zote halali.
bei ni 20million pungufu unaongea.
call 0715314911/0784314911.
lipo lugwadu 3km frm main road ya kwenda kongowe panaitwa mwembe mtengu ni kituo karibu na alipojenga waziri mkuu pinda huku kigamboni. Kwenye shamba utapata mchanga mzuri wa kujengea naouza...
Wadau,
Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power
windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. very peworful...
Tractor linauzwa aina ya Massy ferguson model 158 lipo sinza shule ya mapambano kwa maulizo zaid piga 255778481958 au ni pm
tractor lenyewe ilo hapo juu
wandugu sijawa kutuma hizi gari wenye uzoefu naomba kujua lipi bora kwa matumizi ya Tz hasa DAR ES SALAAM, nina ka baloon linanipa hasara ya mafuta sana, nataka niagize dogo kati ya haymawili...
SABABU YA KUUZA =NIMEFULIA
TATIZO KUBWA ILIYONALO=NILIIBIWA INTERNAL CABLE CHARGER NIMEBAKIWA NA EXTERNAL CHARGER!
(kama utaitaka internal charger zinauzwa elfu 15.)
INA SPECIFICATION HIZO HAPO...
Salaam!
Natafuta wanunuzi wa asali mbichi kutoka tabora.
Nauza kuanzia lita 20 na kuendelea.
Tafadhali ni pm kama unahitaji au kama una maoni au msaada wowote.
Asanteni sana
Habari zenu wandugu,
Katika pita pita za hapa na pale nikaisahau Blackberry(curve 3g) yangu kidogo kama kawaida watu wakaiona dili wakaibeba. Inaniuma kwani ina miezi mitatu tu toka niinunue Tigo...
Shamba kubwa la ekari 10, lipo eneo la Kibamba Kibwegere kama kilomita 5 toka barabara ya Dar - Morogoro.
Lipo karibu kabisa na mto Mpiji na ardhi yake ni nzuri kwa kilimo cha aina zote.
Pia...