Tractor linauzwa

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,939
Tractor linauzwa aina ya Massy ferguson model 158 lipo sinza shule ya mapambano kwa maulizo zaid piga 255778481958 au ni pm yasmina 3 years 037.jpg
tractor lenyewe ilo hapo juu
 

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
40
Massey nyingi huwa ni 240 , 160, 175, 180, 270, 290 nakuendeleaya naomba unipe bei ya model 240 kama unayo yupo mteja naomba unitafute kwa no. 0787139327
 

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
40
Samahani mkuu ninaweza kupata trecta kwa shilingi milioni kumi? Kama unajuwa jinsi ya kunisadia naomba tuwasiliana kwa no.0787 139327 ninafanya kazi ila nataka kuanza kilimo
 

tabu kuishi

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
353
40
Nina program ya kufunguwa kiwanda cha kukamuwa mafuta ya alizeti pamoja na kusaga nafaka najuwa trecta litanisadia sana kwa kuzalisha malighafi huko kijijini na kuleta hapa mjini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom