BlackBerry required

coby

JF-Expert Member
Nov 28, 2008
342
39
Habari zenu wandugu,

Katika pita pita za hapa na pale nikaisahau Blackberry(curve 3g) yangu kidogo kama kawaida watu wakaiona dili wakaibeba. Inaniuma kwani ina miezi mitatu tu toka niinunue Tigo shop ikiwa mpyaa, inauma sana.

Anyway nisiwachoshe, nalazimika kuzama mfukoni tena kwa aina ileile (curve 3g, 9300) au bold au zaidi kutegemea na bei ya muuzaji. Mwenye nayo fasta fasta aniambie na bei yake kabla sijachukua maamuzi ya kuzama dukani tena. Nimepoteza access ya JF full time kwa hiyo napatikana kwa kitochi changu 0714 498877
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom