Salaam! Natafuta wanunuzi wa asali mbichi kutoka tabora. Nauza kuanzia lita 20 na kuendelea. Tafadhali ni pm kama unahitaji au kama una maoni au msaada wowote. Asanteni sana