Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari, Usisite tena tunatengeneza website kutokana na ela uliyonayo. Hautalipa mpaka utakaporidhika na kazi yetu email us webdisgner255@gmail.com
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mana ajira hakuna, na kiwango changu ni chini ya hyo hela mwenye nayo au anatarifa anisaidie angalau nijiajiri. Ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
lipo lugwagu km 7 kutoka barabara ya lami iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu. Unaweza kupitia ferry ambo ni km 20 kutoka kivukoni hadi kwenye junction ya kuingia shambani na km 4 kutoka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Big house, 1 big master bedroom, 3 bedrooms, dinning, kitchen, store, nyumba ipo lenta, ina eneo kubwa 112M x 56M. Ukonga sitaki shari 35million ASAP, Call. Capt. Halili 0715346208, 0784346208...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama unahitaji jezi za Zamalek size yoyote ni PM
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Blackberry Bold 9000 inakua na charger tu! Bei ni 200000 tu. Nichek 0753196849
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nilikua naulizia kuhusu durability ya hizi gari ndogo za mizigo SUZUKI CARRY!zipo tofauti tofauti,ni zipi ambazo mashine haisumbui?zipo zenye 4WD,zenye nozzel,zenye injection,jamana mwenye...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Ipo Yombo Buza Kwa Lurenge,Mtaa wa Capetown, karibu Mama RAMA MUUZA MAJI ,INAFENSI INA MABANDA YA UWANI,INA ENEO KUBWA LA PAKINI YA GARI, HATA GARI 3 ZINAPAKI ,BEI 70M inamaongezi PIGA 0784236210
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Blackberry 9780 used lakini ipo kwenye Hali Nzuri Sanaa... Inakuja na kila kitu chake mpaka box... Pm au piga 0785 202202 Kama unahitaji.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Used Rav 4 (J) for sale: Description: Registration year/month 1997/12 Odometer 87,000 km Displacement 1990 cc Steering Right Transmission type: Automatic...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salaam. Ninatafuta Valve chase ya Gear box ya gari aina Toyota Cami ya mwaka 1999. Nipo Dar.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Inahitajika suzuki esucudo milango mitano iliyoko kwenye hali nzuri. Iwe automatic (4-cylinder). Budget 7M mwenye nayo ani PM tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
blackberry curve 8520-beí 250,000.bold 9780-400,000. Htc sense - 500,000/=. I-phone 4 black na white-bei 800,000/=. And others. Simu:0713656256
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenyu wanajamvi.ebwana natafuta fundi wa chaga za kitanda changu zilizovunjika jana wakati mimi na mama nginaa tukisheherekea sikukuu ya wapendanao,yeyote anayemfahamu fundi anijuze kwa PM...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu inahitajika gari ndogo ya matumizi ya hapa mjini Dar es Salaam ambayo matumizi ya mafuta ni ikonomiko. Iwe katika hali nzuri na iwe inatembea. Iwe hapa hapa Dar bajeti mil 4. Kwa walio...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Gari niya mwaka 2006,petrol engine,imetembea km 72,000. Bei ni Mil 13.5 Kwa anayehi ani pm kwa 0713 869692
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada kwa wenye kujua tatizo hili kwa balckberry, nilikuwa na download nimbuzz nilipomaliza ikaniambia ni restart phone, baada ya ku irestart haiwaki tena, ikiwaka ikifika kwenye initialising...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza cmu iphone mchina imepasuka display.Ila mawasiliano iko poa.Bei maelewano mwisho 50000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DOBEA SMART CONSULT is a part of DOBEA GROUP Ltd providing Business Development, research and Consultancy services. It was officially registered under the companies act no.12 of 2002 with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba hii imebakia kupauliwa, ina vyumba 3, jiko, sitingroom, dining na vyoo ndani. Ipo bunju b kama mita 500 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo. Haina dalali ni ya jamaa yangu wa karibu sana...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom