Kiwanja kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by gozo, Jan 7, 2012.

 1. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Habari wana JF..kuna kiwanja kinauzwa 1.5 Mil kina ukubwa wa 20*25 kimepimwa na kina hati zote,kipo sehemu nzur na kinafikika kwa urahisi,kipo maeneo ya mpiji magohe dar es salaam,ukifika mbezi ya kimara unapanda magari yanaendayo huko mpiji magohe
  kwa mawasiliano piga 0657 174 970
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mpigi Magohe viwanja vimepimwa?
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,362
  Trophy Points: 280
  Labda anamaanisha kupimwa na futi-kamba ili kujua ukubwa wake!!!
   
 4. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Anaweza kuwa amepima mwenyewe na kupata hati.
   
 5. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ahsante kwa kumfahamisha mkuu..
   
 6. N

  Njele JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huko ni jahanam, maana utafikiri kana kwamba uko Tunduru vile kumbe ndani ya Darisalama
   
 7. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hapana mkuu hati halali ipo wala usiwe na hofu..
   
 8. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  acha hulka za kike wewe..
   
 9. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Asante sana, unatumia muda gani kutoka mbezi ya kimara kufika huko?? Avatar yako nimeipenda!
   
 10. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,362
  Trophy Points: 280
  Sasa gharama za kupima tu inaweza kua ndio hiyo 1.5Mil, so unauza bure???
   
 11. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  unatumia kama nusu saa hivi mkuu,ahsante..
   
 12. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wewe wasema..
   
Loading...