HTC Chacha for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HTC Chacha for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by alsaidy, Jan 7, 2012.

 1. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wakuu,

  HTC Chacha iko sokoni, nimeinunua mpya nimeitumia miezi 4 iko katika hali nzuri inafanya kazi kama kawaida.
  Bei ni Tsh. 550,000

  Vifaa vyake vilivyokuja navyo ni

  1. Charger
  2. Get started Manual
  3. Earphone
  4. Protective cover - Bluu

  Waliokuwa interested plz call 0784/0715/0773 418866


  Specification zake hizi hapa HTC ChaCha - Full phone specifications
   

  Attached Files:

 2. knownless

  knownless Senior Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu ukimpata mkurya mwenye jina kama hilo mbona atachukua huo mzigo bila discount.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahhaaaa!!
  miminingeinunua kama ingekuwa inaitwa HTC Mwaipopo.
   
 4. enhe

  enhe JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 933
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Hahahahaaaaa nikuuzie ya kwangu inaitwa "Alinanuswe"
   
 5. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ni simu nzuri sana; lakini kwa nini kuibiana hela? HTC Cha Cha Mpya kabisa ni $250 (400,000/=) kwa pesa za Tanzania. Sasa wewe umeitumia ya kwako kwa miezi minne uaniuza 550,000/=? Acha wizi wa ki-CCM!!
   
 6. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu hapa mshikaji mpya na one year warrnt kwa 245 dollas
   
 7. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nashkuru mkuu kwa kuniita mwizi.

  ungecomment kuwa bei ni kubwa ukatoa ofa yako ungepungua nini?

  Ustaarabu kitu cha bure............
   
 8. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  sawa mkuu weka offer yako nikiafiki tutamalizana. Biashara haigombi.
   
Loading...