HTC HD 7 inauzwa

HTC HD 7 inauzwa

aghassany

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
57
Reaction score
1
HTC HD 7 used lakini kwenye kondishen nzuri. 600,000.

Au exchange na BlackBerry 9780 na kuendelea.
 
Mbona unabadili kwani inashida gani

sijabadili kitu chochote. Mimi shida yangu ni bb. So kama mtu atakuwa nayo tutafanya xchange na cash inategemea na thamani ya hiyo bb. Na Simu haina shida yoyote...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom